Azam katika mtihani wa Ndanda FC leo Robo Fainali ya tatu ya Kombe la Shirikisho la TFF kati ya Azam FC na Ndanda FC inafanyika leo Aprili 5, 2017 saa 1.00 usiku kwenye Uwanja wa Azam ulioko Chamazi, nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam. Read more about Azam katika mtihani wa Ndanda FC leo