Hili ndilo jibu la Wema Sepetu kwa Harmorapa
Muigizaji na kada wa CHADEMA, Wema Sepetu amemtaka msanii asiyekaukiwa matukio mitandaoni Harmorapa kuacha mara moja kumtumia kama ngazi katika kutafuta riziki zake bali amuheshimu kama dada na msanii mwenzake.