Hakuna tena mgomo Mgomo wa vyombo vya usafiri uliokuwa umetangazwa kufanyika nchi nzima na Chama cha Wamiliki wa Mabasi (TABOA) kwa kushirikiana na vyama vingine vya usafirishaji umefutwa baada ya Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi kuingilia kati Read more about Hakuna tena mgomo