Meya Dodoma ang'olewa madarakani Meya wa Manispaa ya Dodoma, Jafary Mwanyemba ameng’olewa kwenye wadhifa kwa madai ya kusaini mkataba wa kuchimba visima vya maji katika kata ya Zuzu kinyume na sheria. Read more about Meya Dodoma ang'olewa madarakani