Thamani ya Samatta yapaa

Kuanzia sasa klabu yoyote itakayohitaji kumsajili Mbwana Samatta kutoka katika klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji, itahitajika kuandaa Euro milion 3 sawa na shilingi bilioni 7.1 za kitanzania.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS