Vikosi Simba na Kagera Sugar hivi hapa
Klabu ya Simba leo inamkosa beki wake wa kulia Javier Bukungu katika mchezo wa ligi kuu unaoanza muda mfupi ujao dhidi ya Kagera Sugar katika dimba Kaitaba Bukoba, kwa mujibu wa kikosi kilichowekwa hadharani hivi punde.