VIDEO: Lijualikali baada ya kutoka gerezani
Mbunge wa Kilombero kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Peter Lijualikali leo amefanikiwa kuachiwa huru na maafisa wa gereza la Ukonga baada ya kukamilisha taratibu za kutoka gerezani.