VIDEO: TID alikataa jina lake TID Mkongwe wa bongo fleva Khalid Mohamed maarufu kwa jina la TID au Mzee Kigogo amelikataa rasmi jina la TID ambalo ndilo lililompatia umaarufu na kutaka kupendekeza aitwe jina lake alilopatiwa na wazazi wake au 'Mnyama'. Read more about VIDEO: TID alikataa jina lake