Mahakama yamzuia Msajili kutoa ruzuku ya CUF Mahakama Kuu imemuamuru Msajili wa Vyama vya Siasa nchini kutotoa ruzuku kwa Prof. Ibrahim Lipumba wa Chama cha Wananchi, CUF, na kundi lake. Read more about Mahakama yamzuia Msajili kutoa ruzuku ya CUF