Lijualikali aachiwa huru Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imetengua hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Kilombero ya kifungo cha miezi 6 gerezani kwa Mbunge wa Kilombero Mh. Peter Lijuakali na kumuachia huru kuanzia leo Read more about Lijualikali aachiwa huru