Yanga yabadili uwanja wa kuwaadhibia 'waarabu'
Mabingwa watetezi wa Tanzania Bara Yanga wamesema mchezo wa kwanza wa mchujo wa kuwania kuingia hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika Kati yao na MC Alger ya Algeria utachezwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam badala ya CCM Kirumba Mwanza