Ni heri mtu akose figo kuliko 'bando' - Roma
Msanii Roma Mkatoliki amesema hali ya utandawazi imeharibu nchi ya Tanzania katika utendaji kazi maofisini mpaka shuleni kutokana na watu kutekwa na mitandao ya kijamii kwa kutotaka kupitwa na vitu vinavyoendelea kutokea.