Mulonda TMD aeleza kilichofanya amtumkie Mungu
Mwanamuziki wa kimataifa wa nyimbo za injili, Timotheo Mulonda Denis ‘TMD’ amefungukia sababu ya kutumia kipaji chake kwenye nyimbo za injili ni kutoa shukrani kwa Mungu aliyemuumba pia kuwakumbusha watu wa rika zote kuacha dhambi na kumkumbuka Mungu