Singeli haijanishinda - Khalid Chokoraa
Msanii Khalid Chokoraa aliyekuwa anafanya vizuri katika miondoko ya dansi amekanusha zile tetesi ya yeye kufeli muziki wa singeli na kusema hakuna ukweli katika hilo kwa sababu kazi zake mpaka sasa zimepata mapokezi mazuri pamoja na ‘airtime’.