Stars yabadili kikosi kuivaa Burundi
Kikosi cha kwanza cha Taifa Stars kitakachoivaa Burundi katika mchezo wa kirafiki hii leo kimewekwa hadharani, huku kikionesha mabadiliko kadhaa katika baadhi ya idara ikilinganishwa na kile kilichoanza kuivaa Botswana siku ya Jumamosi.