Yanga wanaongoza kwa 'kuua' watu - JB

JB

Msanii Jacob Stephen maarufu kama JB amefunguka na kusema klabu ya Yanga ni chanzo cha watu wengi kupatwa na matatizo ya moyo ambayo hupelekea vifo kwa sababu klabu hiyo haina furaha wala haiwapi furaha mashabiki wake ukifananisha na klabu ya Simba.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS