Kamishna Mkuu TRA apangiwa kazi nyingine Alphayo Kidata Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 23 Machi, 2017 amemteua Bw. Alphayo Kidata kuwa Katibu Mkuu, Ikulu. Read more about Kamishna Mkuu TRA apangiwa kazi nyingine