Hungary kujenga kiwanda cha mabasi Tanzania
Balozi wa Hungary hapa nchini mwenye makazi yake Nairobi, Kenya Mhe. Lazaro Eduard Mathe amemhakikishia Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli kuwa nchi yake ipo tayari kushirikiana na Tanzania katika kuendeleza sekta ya viwanda