Sijawahi na wala sitaimba mapenzi - Tabla
Msanii wa muda mrefu katika bongo fleva ambaye hivi sasa ameibuka na kitu kipya alichomshirikisha Peter Msechu, 'Nasema na wewe' ameweka wazi kuwa hajawahi kuandika/kuimba wimbo wenye maudhui ya mapenzi na wala hatakuja kufanya hivyo