BAJETI Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango amewasilisha bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2017/18 ya shilingi trilioni 31.6 huku fedha za maendeleo zikiwa zimeongezeka kwa asilimia 36 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka 2016/17 Read more about BAJETI