Ripoti uvamizi kituo cha habari yaja na mazito

Waziri Nape Nnauye (kulia) akipokea taarifa ya uchunguzi kutoka kwa mwenyekiti wa Kamati, Hassan Abas

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amedaiwa kuwatishia kuwafunga jela miezi 6 au kuwapa tuhuma za dawa za kulevya bila kupitia mahakamani wafanyakazi wa kituo cha utangazaji cha Clouds kwa kukataa kurusha habari aliyoitaka.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS