Schweinsteiger aitosa United, atimkia Marekani

Bastian Schweinsteiger

Mshindi wa kombe la Dunia, akiwa na timu ya Taifa ya Ujerumani mwaka 2014, Bastian Schweinsteiger amejiunga na klabu ya ligi kuu ya soka nchini Marekani, Chicago Fire, akitokea Manchester United, ya nchini Uingereza.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS