Shilole awachana wanaomuhusisha na Nuh Mziwanda

Msanii wa bongo fleva nchini Tanzania Shilole ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake mpya ''Hatutoi kiki' amewataka watu kuacha tabia ya kuendelea kumzushia vitu ambavyo sio vya kweli baina yake na Nuh Mziwanda.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS