Ozil bado hakijaeleweka Arsenal Mesut Ozil Kiungo Mesut Ozil amesema kuwa hivi karibuni atafanya mazungumzo na klabu yake ya Arsenal kuhusu mustakabali wake na ataamua kama atasaini mkataba mpya au lah. Read more about Ozil bado hakijaeleweka Arsenal