Stars yaingia kambini bila Ulimwengu Thomas Ulimwengu Kikosi cha Taifa Stars kimeanza kambi huku wachezaji wengine kutoka kikosi cha Azam FC wakitarajiwa kuingia kambini hii leo usiku huku kikimkosa Mshambuliaji wa Kimataifa Thomas Ulimwengu. Read more about Stars yaingia kambini bila Ulimwengu