Benki ya Dunia yamwaga 'mahela' sekta ya elimu Rais wa Benki ya Dunia Dkt. Jim Yong Kim Benki ya Dunia inatarajia kutoa kiasi cha Shilingi Trilioni 1.7 kwa Tanzania kwa ajili ya kukamilisha miradi mbalimbali ya huduma za jamii ikiwemo elimu. Read more about Benki ya Dunia yamwaga 'mahela' sekta ya elimu