Nape awaaga wanahabari, awaachia ujumbe Waziri Nape akizungumza na wanahabari akiwa juu ya gari Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye amewaaga rasmi wanahabari nchini baada ya kuondolewa kwenye nafasi hiyo leo, huyu akiwaachia ujumbe wa kuwataka wasiwe waoga. Read more about Nape awaaga wanahabari, awaachia ujumbe