Makonda apigwa ‘stop’
Jukwaa la wahariri Tanzania Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) wametangaza kutoandika wala kutangaza habari zote zinazomhusu Mkuu wa Mkoa na Dar es Salaam Paul Makonda kwa madai ya kutoheshimu uhuru wa vyombo vya habari.