Mrisho Mpoto alia na wanasiasa Mrisho Mpoto Msanii Mrisho Mpoto amewaomba wanasiasa waachie ‘gap’ kidogo ili wasanii nao waweze kupata muda wa kutambulisha kazi zao za sanaa kwa jamii ambayo sasa imetekwa na upepo wa siasa. Read more about Mrisho Mpoto alia na wanasiasa