Ufungaji VAR wakamilika kwa Mkapa
Watalaamu kutoka Shirikisho la soka barani Afrika CAF wameendelea na ufungaji vifaa vya teknolojia Assistants Referee (VAR) kwa ajili ya mchezo wa robo fainali baina ya Yanga dhidi ya Marumo Gallants ya Afrika Kusini utakaochezwa jumatano Mei 10,2023 majira ya saa 10 jioni