Tanzania yafuzu michuano ya dunia
Timu ya Tenisi ya Walamavu ya Tanzania imefanikiwa kufuzu kushiriki michuano ya Dunia BNP Paribas baada ya kuifunga Kenya kwa Seti 2-0 katika mchezo wa Fainali wa mashindano ya kufuzu ya Afrika yaliyofanyika nchini Kenya.