Moja kati ya mechi zilizowakutanisha Chelsea na Man United
Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho amesema kuwa Chelsea tayari ni mabingwa wa kombe la FA, kabla hata ya mchezo wa robo fainali atakaokutana na vinara hao, wa ligi kuu ya soka nchini Uingereza.