Darassa awachanganya mashabiki na ngoma mpya
Ikiwa mpaka sasa imepita zaidi ya miezi miwili tangu rapa Darassa alipoachia wimbo wake wa 'Muziki' na kufanikiwa kupata mafanikio makubwa zaidi kuliko wakati wote katika muziki wake rapa huyo ameonekana kuwachanganya mashabiki zake juu ya kazi mpya.