. "Mtu anayekupenda na mwema kwako ni ngumu kumjua, ukute hata huwa hakuongeleshi na hana muda na wewe, ila ukipatwa na shida ndo utamjua lakini wale ambao kutwaa uko nao, unacheka nao, unawaamini hao ndiyo maadui zako wa kwanza" - Shamsa Ford. Read more about .