Serengeti Boys uso kwa uso na Mabingwa watetezi
Timu ya taifa ya vijana ya Serengeti Boys imepangwa kundi moja la B na timu za Mali ambao ndiyo mabingwa watetezi katika fainali za michuano ya Afrika kwa vijana wenye umri chini ya miaka 17, zilizopangwa kufanyika nchini Gabon.