Treni za umeme na mafuta kuanzishwa Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli, amesema kuwa serikali imepanga kuondoa msongamano wa magari Jijini Dar es Salaam, ikiwa ni pamoja mpango wa kuanzisha safari ya treni ya mafuta na umeme kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro.