Madee aweka wazi kusambaratika kwa Tip Top
Rapa Madee ambaye anatamba na ngoma ya ''Hela' amefunguka na kuweka wazi sababu zilizopelekea kundi la Tip Top Connection kusambaratika kimuziki na sasa kubaki kama familia ya watu waliowahi kuishi pamoja na si kufanya muziki kwa lengo la biashara.