Mubenga ajuta kupoteza muda wake PKP
Aliyekuwa meneja wa lebo ya muziki wa bongo fleva ya Poz Kwa Poz (PKP) Mubenga amesema kwa miaka sita aliyokaa PKP haikumnufaisha chochote badala yake ilimpotezea muda wake na kumnufaisha mtu ambaye hakumthamini.