Nay 'amepora' kazi ya Babu Tale - Madee
Rapa Madee ambaye hivi sasa amefanya vyema na wimbo wake 'Hela' amefunguka na kusema kuwa Rapa Nay wa Mitego amemsaidia sana kuipa nguvu kazi yake ya 'Hela' huku akimshauri kutumia muda wake kuzipa promo kazi zake.