Polisi Mwanza yaua majambazi wawili

Ahmed Msangi - Kamanda wa Polisi MKoa wa Mwanza

Watu wawili waliokuwa wakituhumiwa kwa ujambazi wameuawa wakati wakitaka kujaribu kuwatoroka askari polisi wilayani Ilemela mkoani Mwanza

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS