AY ajifananisha na Dr. Dre na D'Banj
Rapa AY amefunguka na kusema kuwa siku zote moyo wake upo kwa ajili ya ku'share vitu na watu na kuona watu mbalimbali hata nje ya muziki wanafanikiwa kwani anaamini kufanikiwa kwake ni kuona watu wengine pia wanafanikiwa na kupiga hatua za maendeleo