Sijawahi kupata matatizo ya soko - JB

JB

Msanii maarufu wa filamu hapa nchini, Jacob Steven 'JB' amefunguka na kuweka wazi kuwa tangu ameanza uigizaji hajawahi kupata changamoto ya soko ya kazi zake kama ambavyo baadhi ya wasanii wa filamu bongo wamekuwa wakilalamika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS