Serikali yakiri upungufu wa wataalam wa afya
Serikali imekiri uwepo wa upungu wa watumishi wa afya kwa asilimia 48 kwa nchi nzima hivyo kuanza mikakati ya kutoa ajira katika sekta hiyo ili kuweza kuwapangia katika maeneo yenye upungufu ili kuboresha sekta hiyo muhimu.