Nchi iko vizuri kiuchumi - Waziri Mpango
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango amehitisha mjadala wa mapendekezo ya mpango wa maendeleo wa taifa kwa mwaka wa fedha 2016/2017 na muongozo wa kuaanda mpango wa bajeti ya serikali ya serikali kwa mwaka 2017 /2018.