Walimu wake za vigogo wahamishwe - DC Arumeru
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Alexander Mnyeti amewaagiza wakurugenzi wa Halmashauri za Arusha DC na Meru wilayani humo, kuwahamisha waalimu wote ambao ni wake wa vigogo wanaofundisha katika shule zilizopo karibu.