Dawa ya riba kubwa kwenye mabenki yabainika
Viwango vya riba vinavyotozwa na mabenki pamoja na taasisi mbalimbali za kifedha nchini Tanzania vitashuka tu iwapo idadi ya watumiaji wa huduma za kibenki wataongezeka na hivyo kuongeza ushindani wa kibiashara kwenye sekta ya fedha.