Wanaoanzisha 'lebo' wanatafuta kiki - Joh Makini Rapa mkali kutoka Weusi Joh Makini amewachana wanaoanzisha label hapa nchini kuwa wengi wao hawajui vigezo vya kumiliki label na badala yake wanazitumia label kama kiki katika muziki wao. Read more about Wanaoanzisha 'lebo' wanatafuta kiki - Joh Makini