Dkt. Hamis Kigwangalla, Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Serikali imesema inaendelea kuboresha na kuongeza vituo vya kuhudumia watoto wanaozaliwa kabla ya wakati na wenye uzito mdogo katika kila wilaya ili kupunguza vifo vya watoto wachanga nchini.