Sirudi Bongo Movie hadi wezi wakamatwe - Dr. Cheni Dr. Cheni Msanii nguli wa filamu Tanzani Dkt. Cheni amesema hatarajii kutoa movie hivi karibuni mpaka wezi wa kazi zao kwa kuzisambaza bila vibali watakapokamatwa. Read more about Sirudi Bongo Movie hadi wezi wakamatwe - Dr. Cheni