Nikiletewa muswada wa habari nitausaini - Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amesisitiza kutia saini muswada wa huduma ya habari endapo utapitishwa na bunge kwa kuwa muswada huo umechelewa kutokana na mahitaji yake kwa sasa nchini.